All books / Book

Kuku Hujamjulia Bata Utamuweza?

(Cover not found)

Full title: Kuku Hujamjulia Bata Utamuweza?
ISBN: 9780692703328
ISBN 10: 0692703322
Authors: Mr David Kwamila
Publisher: GOSTCH Publishers
Num. pages: 220
Language: en
Published on: 2016

Read the reviews and/or buy it on Amazon.com

Synopsis

Kitabu Hiki Ni Mkusanyiko Wa Visa Vya Kubuni, Vituko Na Simulizi Nyingine Za Mapenzi Zinazo Burudisha, Na Kuleta Msisimko Unaoweza Kukuhamisha Kutoka Mahali Ulipo, Na Kukutupa Katika Lindi La Bahari Kuu Ya Mahaba. Kama Kikisomwa Inavyoelekezwa Kitabu Hiki Kinaweza Kuwa Kichocheo Kizuri Cha Kuanzisha Mazungumzo Na Vicheko Kwa Wapendanao. Onyo Kitabu Hiki Ni Kwa Ajili Ya Watu Wazima Tu. Mtu Mwenye Umri Chini Ya Miaka 18 Hafai Kusoma Kitabu Hiki. Tafadhari Kihifadhi Mahali Salama, Mbali Na Watoto.